Wimbo wa Sulemani 6:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Lakini kuna mmoja tu ambaye ni njiwa wangu,+ mpenzi wangu asiye na kasoro. Binti pekee kwa mama yake. Yeye ni kipenzi cha mama yake.* Mabinti wanapomwona, humtangaza kuwa mwenye furaha;Malkia na masuria humsifu.
9 Lakini kuna mmoja tu ambaye ni njiwa wangu,+ mpenzi wangu asiye na kasoro. Binti pekee kwa mama yake. Yeye ni kipenzi cha mama yake.* Mabinti wanapomwona, humtangaza kuwa mwenye furaha;Malkia na masuria humsifu.