Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wimbo wa Sulemani 5
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Wimbo wa Sulemani 5:1

Marejeo

  • +Wim 4:16; 6:2
  • +Wim 4:9; 1Ti 5:2
  • +Wim 4:8; Yoh 3:29; Ufu 21:9
  • +Wim 4:14
  • +Kum 26:9; Wim 4:11; Isa 7:15
  • +Wim 1:2, 4

Wimbo wa Sulemani 5:2

Marejeo

  • +Wim 3:1
  • +Ufu 3:20
  • +Lu 12:36
  • +2Ko 7:1; 11:2; Efe 5:27; 2Pe 3:14; Ufu 14:4
  • +Lu 2:8

Wimbo wa Sulemani 5:4

Marejeo

  • +Mwa 43:30; 1Fa 3:26

Wimbo wa Sulemani 5:6

Marejeo

  • +Wim 3:1

Wimbo wa Sulemani 5:7

Marejeo

  • +Wim 3:3
  • +Isa 62:6

Wimbo wa Sulemani 5:8

Marejeo

  • +Kum 6:13; 10:20
  • +Wim 3:10
  • +Zb 45:2
  • +Wim 2:5

Wimbo wa Sulemani 5:9

Marejeo

  • +Zb 45:7
  • +Wim 6:1
  • +Wim 5:8

Wimbo wa Sulemani 5:10

Marejeo

  • +Lu 2:52

Wimbo wa Sulemani 5:11

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Amkeni!,

    1/8/1997, uku. 25

  • Fahirishi ya Machapisho

    g97 1/8 25

Wimbo wa Sulemani 5:12

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, uku. 30

    11/15/2006, uku. 19

    11/15/1987, uku. 25

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 19

Wimbo wa Sulemani 5:13

Marejeo

  • +Wim 6:2
  • +Wim 1:13

Wimbo wa Sulemani 5:14

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 19

Wimbo wa Sulemani 5:15

Marejeo

  • +Zb 92:12

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 19

Wimbo wa Sulemani 5:16

Marejeo

  • +Zb 45:2; Wim 2:3

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Wim. 5:1Wim 4:16; 6:2
Wim. 5:1Wim 4:9; 1Ti 5:2
Wim. 5:1Wim 4:8; Yoh 3:29; Ufu 21:9
Wim. 5:1Wim 4:14
Wim. 5:1Kum 26:9; Wim 4:11; Isa 7:15
Wim. 5:1Wim 1:2, 4
Wim. 5:2Wim 3:1
Wim. 5:2Ufu 3:20
Wim. 5:2Lu 12:36
Wim. 5:22Ko 7:1; 11:2; Efe 5:27; 2Pe 3:14; Ufu 14:4
Wim. 5:2Lu 2:8
Wim. 5:4Mwa 43:30; 1Fa 3:26
Wim. 5:6Wim 3:1
Wim. 5:7Wim 3:3
Wim. 5:7Isa 62:6
Wim. 5:8Kum 6:13; 10:20
Wim. 5:8Wim 3:10
Wim. 5:8Zb 45:2
Wim. 5:8Wim 2:5
Wim. 5:9Zb 45:7
Wim. 5:9Wim 6:1
Wim. 5:9Wim 5:8
Wim. 5:10Lu 2:52
Wim. 5:13Wim 6:2
Wim. 5:13Wim 1:13
Wim. 5:15Zb 92:12
Wim. 5:16Zb 45:2; Wim 2:3
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Wimbo wa Sulemani 5:1-16

Wimbo wa Sulemani

5 “Nimeingia katika bustani yangu,+ ewe dada yangu,+ bibi-arusi wangu.+ Nimechuma manemane+ yangu pamoja na manukato yangu. Nimekula sega langu la asali pamoja na asali yangu;+ nimekunywa divai yangu pamoja na maziwa yangu.”

“Kuleni, enyi wapenzi! Kunyweni, mlewe maonyesho ya mapenzi!”+

2 “Mimi nimelala, bali moyo wangu umeamka.+ Kuna sauti ya mpenzi wangu akipiga hodi!”+

“Nifungulie,+ ewe dada yangu, msichana mwenzi wangu, njiwa wangu, wangu asiye na lawama!+ Maana kichwa changu kimejaa umande, mashungi ya nywele zangu yamejaa matone ya usiku.”+

3 “‘Nimevua kanzu yangu. Naweza kuivaaje tena? Nimeosha miguu yangu. Naweza kuichafuaje?’ 4 Mpenzi wangu alirudisha nyuma mkono wake kutoka kwenye tundu la mlango, na tumbo+ langu likawa na msukosuko ndani yangu. 5 Mimi mwenyewe nikasimama nimfungulie mpenzi wangu. Mikono yangu ikadondoka manemane na vidole vyangu manemane ya majimaji, juu ya matundu ya kufuli. 6 Mimi mwenyewe nikamfungulia mpenzi wangu, kumbe mpenzi wangu alikuwa amegeuka, alikuwa amepita. Nafsi yangu ilikuwa imenitoka alipoongea. Nikamtafuta, nisimpate.+ Nikamwita, asiniitikie. 7 Walinzi+ waliokuwa wakizunguka jijini wakanikuta. Wakanipiga, wakaniumiza. Walinzi wa kuta+ wakanivua kifuniko changu kipana.

8 “Nimewaapisha+ ninyi, enyi binti za Yerusalemu,+ kwamba, mkimpata mpenzi wangu,+ mwambieni kuwa mimi nimelewa mapenzi.”+

9 “Jinsi gani mpenzi wako ni bora kuliko mpenzi mwingine yeyote,+ ewe uliye mrembo zaidi kati ya wanawake?+ Jinsi gani mpenzi wako ni bora kuliko mpenzi mwingine yeyote, hata ukatuapisha kwa kiapo cha namna hii?”+

10 “Mpenzi wangu anametameta na ni mwekundu, mwenye kuvutia zaidi kati ya elfu kumi.+ 11 Kichwa chake ni dhahabu, dhahabu safi. Mashungi ya nywele zake ni vishada vya tende. Nywele zake nyeusi ni kama kunguru. 12 Macho yake ni kama njiwa kando ya mifereji ya maji, ambao wanaoga katika maziwa, wakiwa wameketi ndani ya vyombo vya mviringo. 13 Mashavu yake ni kama eneo dogo la bustani ya manukato,+ minara ya mimea yenye harufu tamu. Midomo yake ni mayungiyungi, inadondosha manemane ya majimaji.+ 14 Mikono yake ni mianzi ya dhahabu, imejazwa krisolito. Tumbo lake ni bamba la pembe ya tembo lililopambwa kwa yakuti. 15 Miguu yake ni nguzo za marumaru zinazokalia vikalio vya dhahabu safi. Sura yake ni kama Lebanoni, bora kama mierezi.+ 16 Kinywa chake ni utamu mtupu, na kila kitu kumhusu ni chenye kupendeza kabisa.+ Huyo ndiye mpenzi wangu, na huyo ndiye mvulana mwenzi wangu, enyi binti za Yerusalemu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki