Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wimbo wa Sulemani 4
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Wimbo wa Sulemani 4:1

Marejeo

  • +Zb 45:11
  • +Wim 1:15
  • +Mwa 24:65
  • +Wim 6:5
  • +Hes 32:1; Kum 3:12

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 19

Wimbo wa Sulemani 4:2

Marejeo

  • +Wim 6:6

Wimbo wa Sulemani 4:3

Marejeo

  • +Zb 37:30; 45:2
  • +Wim 6:7

Wimbo wa Sulemani 4:4

Marejeo

  • +Wim 1:10
  • +Ne 3:25; Wim 7:4
  • +2Sa 8:7; 2Fa 11:10; Eze 27:11

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu, uku. 169

Wimbo wa Sulemani 4:5

Marejeo

  • +Wim 7:3
  • +Wim 2:16

Wimbo wa Sulemani 4:6

Marejeo

  • +Wim 2:17
  • +Mhu 2:5

Wimbo wa Sulemani 4:7

Marejeo

  • +Wim 4:1
  • +2Ko 11:2; Efe 1:4; 2Pe 3:14

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, uku. 30

    11/15/2006, uku. 20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 20

Wimbo wa Sulemani 4:8

Marejeo

  • +Yoh 3:29; Ufu 21:9
  • +Kum 3:25
  • +Kum 3:9
  • +Zb 133:3

Wimbo wa Sulemani 4:9

Marejeo

  • +Wim 5:1
  • +Zb 45:14; Ufu 19:7
  • +Met 5:19

Wimbo wa Sulemani 4:10

Marejeo

  • +Wim 1:2; 7:12
  • +Est 2:12; Wim 1:3, 12

Wimbo wa Sulemani 4:11

Marejeo

  • +Met 16:24
  • +Met 24:13; Wim 5:1
  • +Zb 45:8

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, uku. 30

    11/15/2006, uku. 19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 19

Wimbo wa Sulemani 4:12

Marejeo

  • +Wim 6:2

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, uku. 32

    11/15/2006, uku. 20

    11/1/2000, uku. 11

    11/15/1987, uku. 25

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 20; w00 11/1 11

Wimbo wa Sulemani 4:13

Marejeo

  • +Wim 7:13
  • +Wim 1:12

Wimbo wa Sulemani 4:14

Marejeo

  • +Yoh 12:3
  • +Wim 2:1
  • +Kut 30:23; Isa 43:24
  • +Met 7:17; Ufu 18:13
  • +Hes 24:6; Zb 45:8
  • +Kut 30:34; Eze 27:22; 2Ko 2:14

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    2/1/2014, uku. 10

Wimbo wa Sulemani 4:15

Marejeo

  • +Mwa 26:19
  • +Yer 18:14

Wimbo wa Sulemani 4:16

Marejeo

  • +Mhu 1:6
  • +Wim 5:1

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Wim. 4:1Zb 45:11
Wim. 4:1Wim 1:15
Wim. 4:1Mwa 24:65
Wim. 4:1Wim 6:5
Wim. 4:1Hes 32:1; Kum 3:12
Wim. 4:2Wim 6:6
Wim. 4:3Zb 37:30; 45:2
Wim. 4:3Wim 6:7
Wim. 4:4Wim 1:10
Wim. 4:4Ne 3:25; Wim 7:4
Wim. 4:42Sa 8:7; 2Fa 11:10; Eze 27:11
Wim. 4:5Wim 7:3
Wim. 4:5Wim 2:16
Wim. 4:6Wim 2:17
Wim. 4:6Mhu 2:5
Wim. 4:7Wim 4:1
Wim. 4:72Ko 11:2; Efe 1:4; 2Pe 3:14
Wim. 4:8Yoh 3:29; Ufu 21:9
Wim. 4:8Kum 3:25
Wim. 4:8Kum 3:9
Wim. 4:8Zb 133:3
Wim. 4:9Wim 5:1
Wim. 4:9Zb 45:14; Ufu 19:7
Wim. 4:9Met 5:19
Wim. 4:10Wim 1:2; 7:12
Wim. 4:10Est 2:12; Wim 1:3, 12
Wim. 4:11Met 16:24
Wim. 4:11Met 24:13; Wim 5:1
Wim. 4:11Zb 45:8
Wim. 4:12Wim 6:2
Wim. 4:13Wim 7:13
Wim. 4:13Wim 1:12
Wim. 4:14Yoh 12:3
Wim. 4:14Wim 2:1
Wim. 4:14Kut 30:23; Isa 43:24
Wim. 4:14Met 7:17; Ufu 18:13
Wim. 4:14Hes 24:6; Zb 45:8
Wim. 4:14Kut 30:34; Eze 27:22; 2Ko 2:14
Wim. 4:15Mwa 26:19
Wim. 4:15Yer 18:14
Wim. 4:16Mhu 1:6
Wim. 4:16Wim 5:1
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Wimbo wa Sulemani 4:1-16

Wimbo wa Sulemani

4 “Tazama! Wewe ni mrembo,+ ewe msichana mwenzi wangu. Tazama! Wewe ni mrembo. Macho yako ni kama ya njiwa,+ nyuma ya ushungi wako.+ Nywele zako ni kama kundi la mbuzi+ ambao wameruka chini kutoka eneo lenye milima la Gileadi.+ 2 Meno yako ni kama kundi la kondoo-jike waliokatwa manyoya hivi karibuni+ ambao wamepanda kutoka kuoshwa, wote wanazaa mapacha, wala hakuna yeyote kati yao amepoteza watoto wake. 3 Midomo yako ni kama tu uzi mwekundu, na maneno yako yanakubalika.+ Kama kipande cha komamanga ndivyo yalivyo mashavu yako nyuma ya ushungi wako.+ 4 Shingo yako+ ni kama mnara+ wa Daudi, uliojengwa kwa mistari ya mawe, ambao juu yake hutungikwa ngao elfu, ngao zote za mviringo+ za wanaume wenye nguvu. 5 Maziwa yako mawili+ ni kama watoto wadogo wawili, mapacha ya swala-jike, ambao wanalisha katikati ya mayungiyungi.”+

6 “Mpaka mchana uvume upepo mtulivu+ na vivuli viwe vimekimbia, nitakwenda zangu kwenye mlima wa manemane na kwenye kilima cha ubani.”+

7 “Wewe ni mrembo kabisa,+ ewe msichana mwenzi wangu, wala hamna kasoro ndani yako.+ 8 Na uje pamoja nami kutoka Lebanoni, ewe bibi-arusi,+ uje pamoja nami kutoka Lebanoni.+ Ushuke kutoka kilele cha Milima ya Anti-Lebanoni, kutoka kilele cha Seniri,+ naam, Hermoni,+ kutoka katika matundu ya simba, kutoka katika milima ya chui. 9 Umefanya moyo wangu upige, ewe dada yangu,+ bibi-arusi wangu,+ umefanya moyo wangu upige kwa moja la macho yako,+ kwa kidani kimoja cha mkufu wako. 10 Jinsi yalivyo mazuri maonyesho yako ya mapenzi,+ ewe dada yangu, bibi-arusi wangu! Jinsi maonyesho yako ya mapenzi yalivyo bora kuliko divai na harufu nzuri ya mafuta yako kuliko namna zote za manukato!+ 11 Midomo yako inadondosha asali ya sega,+ ewe bibi-arusi wangu. Asali+ na maziwa viko chini ya ulimi wako, na harufu nzuri ya mavazi yako ni kama harufu nzuri+ ya Lebanoni. 12 Dada yangu,+ bibi-arusi wangu, ni bustani iliyowekewa boma, bubujiko lililofungwa kwa kutiwa muhuri. 13 Ngozi yako ni paradiso ya makomamanga, yenye matunda bora kabisa,+ mimea ya hina pamoja na mimea ya nardo;+ 14 nardo+ na zafarani,+ kane+ na mdalasini,+ pamoja na namna zote za miti ya ubani, manemane na udi,+ pamoja na manukato yote yaliyo bora zaidi;+ 15 na bubujiko la bustani, kisima cha maji safi,+ na vijito vinavyotiririka kutoka Lebanoni.+ 16 Amka, ewe upepo wa kaskazini, ingia, ewe upepo wa kusini.+ Vuma juu ya bustani yangu.+ Manukato yake na yatiririke.”

“Mpenzi wangu na aje katika bustani yake, ale matunda yake yaliyo bora kabisa.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki