Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 2:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Zamu ya kila mwanamke kijana ilipofika ya kuingia kwa Mfalme Ahasuero baada ya kufanyiwa kulingana na masharti ya wanawake kwa miezi kumi na miwili, maana hivyo ndivyo hatua kwa hatua siku za utaratibu wao wa kukandwa zilivyotimia, miezi sita kwa mafuta ya manemane+ na miezi sita kwa mafuta ya zeri+ pamoja na kukandwa kwa wanawake;

  • Wimbo wa Sulemani 1:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Maana harufu ya mafuta yako+ ni nzuri. Kama mafuta yanayomiminwa, ndivyo lilivyo jina lako.+ Hiyo ndiyo sababu wanawali wamekupenda.

  • Wimbo wa Sulemani 1:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 “Maadamu mfalme yupo penye meza yake ya mviringo, marashi+ yangu mwenyewe ya nardo yametoa harufu+ yake nzuri.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki