Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wimbo wa Sulemani 1
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Wimbo wa Sulemani 1:1

Marejeo

  • +Kut 15:1; Kum 31:19; Amu 5:1; 2Sa 22:1; Zb 18:utangulizi; Isa 5:1; Ufu 15:3
  • +1Fa 4:32

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 17

    “Kila Andiko,” uku. 115

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 17

Wimbo wa Sulemani 1:2

Marejeo

  • +Wim 8:1
  • +Wim 4:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, kur. 30-31

    11/15/2006, uku. 18

    11/15/1987, uku. 24

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 18

Wimbo wa Sulemani 1:3

Marejeo

  • +Met 27:9; Mhu 9:8; Wim 5:5; Lu 23:56
  • +Mhu 7:1

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, kur. 30-31

    11/15/2006, uku. 18

    11/15/1987, uku. 24

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 18

Wimbo wa Sulemani 1:4

Marejeo

  • +Yoh 6:44
  • +1Fa 7:1
  • +Yoh 15:13
  • +Mt 10:37

Wimbo wa Sulemani 1:5

Marejeo

  • +Zb 45:9
  • +Zb 120:5; Eze 27:21
  • +Kut 36:14

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 18

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 18

Wimbo wa Sulemani 1:6

Marejeo

  • +Wim 8:12

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, uku. 32

    Amkeni!,

    3/22/1994, uku. 17

Wimbo wa Sulemani 1:7

Marejeo

  • +1Sa 18:20; Isa 5:1
  • +Wim 6:3; Yoh 10:11; Ufu 7:17

Wimbo wa Sulemani 1:8

Marejeo

  • +Zb 45:9; Efe 5:27

Wimbo wa Sulemani 1:9

Marejeo

  • +1Fa 10:28
  • +Wim 6:4

Wimbo wa Sulemani 1:10

Marejeo

  • +Eze 16:11

Wimbo wa Sulemani 1:11

Marejeo

  • +2Sa 1:24; Yer 4:30

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/1987, uku. 24

Wimbo wa Sulemani 1:12

Marejeo

  • +Wim 4:13
  • +Yoh 12:3

Wimbo wa Sulemani 1:13

Marejeo

  • +Kut 30:23; Est 2:12; Zb 45:8; Wim 4:6; 5:13; Yoh 19:39
  • +Wim 4:5

Wimbo wa Sulemani 1:14

Marejeo

  • +Wim 4:13
  • +Yos 15:62

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/1/1989, uku. 17

Wimbo wa Sulemani 1:15

Marejeo

  • +Zb 45:11; Wim 4:7
  • +Mwa 29:17; Wim 4:1; 5:2

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 18

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 18

Wimbo wa Sulemani 1:16

Marejeo

  • +Zb 45:2; Wim 5:10; Yoh 1:14; Ebr 11:23
  • +Ayu 7:13; Zb 132:3

Wimbo wa Sulemani 1:17

Marejeo

  • +Zb 92:12; Isa 9:10

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Wim. 1:1Kut 15:1; Kum 31:19; Amu 5:1; 2Sa 22:1; Zb 18:utangulizi; Isa 5:1; Ufu 15:3
Wim. 1:11Fa 4:32
Wim. 1:2Wim 8:1
Wim. 1:2Wim 4:10
Wim. 1:3Met 27:9; Mhu 9:8; Wim 5:5; Lu 23:56
Wim. 1:3Mhu 7:1
Wim. 1:4Yoh 6:44
Wim. 1:41Fa 7:1
Wim. 1:4Yoh 15:13
Wim. 1:4Mt 10:37
Wim. 1:5Zb 45:9
Wim. 1:5Zb 120:5; Eze 27:21
Wim. 1:5Kut 36:14
Wim. 1:6Wim 8:12
Wim. 1:71Sa 18:20; Isa 5:1
Wim. 1:7Wim 6:3; Yoh 10:11; Ufu 7:17
Wim. 1:8Zb 45:9; Efe 5:27
Wim. 1:91Fa 10:28
Wim. 1:9Wim 6:4
Wim. 1:10Eze 16:11
Wim. 1:112Sa 1:24; Yer 4:30
Wim. 1:12Wim 4:13
Wim. 1:12Yoh 12:3
Wim. 1:13Kut 30:23; Est 2:12; Zb 45:8; Wim 4:6; 5:13; Yoh 19:39
Wim. 1:13Wim 4:5
Wim. 1:14Wim 4:13
Wim. 1:14Yos 15:62
Wim. 1:15Zb 45:11; Wim 4:7
Wim. 1:15Mwa 29:17; Wim 4:1; 5:2
Wim. 1:16Zb 45:2; Wim 5:10; Yoh 1:14; Ebr 11:23
Wim. 1:16Ayu 7:13; Zb 132:3
Wim. 1:17Zb 92:12; Isa 9:10
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Wimbo wa Sulemani 1:1-17

Wimbo wa Sulemani

Wimbo wa Sulemani

1 Wimbo ulio bora,+ ambao ni wa Sulemani:+ 2 “Na anibusu kwa busu za kinywa chake,+ maana maonyesho yako ya mapenzi ni bora kuliko divai.+ 3 Maana harufu ya mafuta yako+ ni nzuri. Kama mafuta yanayomiminwa, ndivyo lilivyo jina lako.+ Hiyo ndiyo sababu wanawali wamekupenda. 4 Nivute nyuma yako;+ na tukimbie. Mfalme ameniingiza katika vyumba vyake vya ndani!+ Na tufurahi na kushangilia katika wewe. Na tutaje maonyesho yako ya mapenzi kuliko divai.+ Wamekupenda inavyostahili.+

5 “Mimi ni msichana mweusi, lakini mwenye kupendeza, enyi binti za Yerusalemu,+ kama mahema ya Kedari,+ tena kama vitambaa vya mahema+ ya Sulemani. 6 Msinitazame kwa sababu mimi ni mweusi, kwa sababu jua limeniunguza. Wana wa mama yangu mwenyewe walinikasirikia; waliniweka kuwa mtunzaji wa mashamba ya mizabibu,+ ijapokuwa sikulitunza shamba langu mwenyewe la mizabibu.

7 “Niambie, ewe ambaye nafsi yangu imekupenda,+ mahali unapochunga,+ mahali unapolaza kundi katikati ya mchana. Kwa nini niwe kama mwanamke aliyefungwa nguo za maombolezo kati ya makundi ya wenzako?”

8 “Ikiwa wewe mwenyewe hujui, ewe uliye mrembo zaidi kati ya wanawake,+ nenda mwenyewe katika nyayo za kundi uchunge wana-mbuzi wako kando ya maskani za wachungaji.”

9 “Nimekufananisha na farasi-jike wangu katika magari ya Farao,+ ewe msichana mwenzi wangu.+ 10 Mashavu yako yanapendeza kati ya nywele zilizosukwa, shingo yako katika mkufu wa shanga.+ 11 Tutakufanyia vitaji vya dhahabu,+ pamoja na vifungo vya fedha.”

12 “Maadamu mfalme yupo penye meza yake ya mviringo, marashi+ yangu mwenyewe ya nardo yametoa harufu+ yake nzuri. 13 Kwangu mimi mpenzi wangu ni kama mfuko wa manemane;+ katikati ya maziwa+ yangu atalala usiku kucha. 14 Kama kishada cha hina+ ndivyo alivyo mpenzi wangu kwangu, kati ya mashamba ya mizabibu ya En-gedi.”+

15 “Tazama! Wewe ni mrembo, ewe msichana mwenzi wangu.+ Tazama! Wewe ni mrembo. Macho yako ni kama ya njiwa.”+

16 “Tazama! Wewe ni mrembo,+ mpenzi wangu, pia mwenye kupendeza. Pia kitanda+ chetu ni cha majani. 17 Nguzo za nyumba yetu kuu ni mierezi,+ maboriti yetu ni miberoshi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki