Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 1:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Enyi binti za Israeli, mlilieni Sauli,

      Aliyewavika nguo nyekundu kwa umaridadi,

      Aliyeweka mapambo ya dhahabu juu ya mavazi yenu.+

  • Yeremia 4:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Sasa kwa kuwa umeporwa, utafanya nini, kwa sababu ulikuwa ukivaa nguo nyekundu, kwa sababu ulikuwa ukijipamba kwa mapambo ya dhahabu, kwa sababu ulikuwa ukipanua macho yako kwa kujipaka wanja?+ Ulikuwa ukijirembesha kwa ubatili tu.+ Wale wanaokutamani wamekukataa; wanaendelea kuitafuta nafsi yako.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki