-
Esta 2:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Zamu ya kila mwanamke kijana ilipofika ya kuingia kwa Mfalme Ahasuero baada ya kufanyiwa kulingana na masharti ya wanawake kwa miezi kumi na miwili, maana hivyo ndivyo hatua kwa hatua siku za utaratibu wao wa kukandwa zilivyotimia, miezi sita kwa mafuta ya manemane+ na miezi sita kwa mafuta ya zeri+ pamoja na kukandwa kwa wanawake;
-