Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 45:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  8 Mavazi yako yote ni manemane na udi na kida;+

      Kutoka katika jumba kuu la mfalme la pembe,+ vinanda vimekufanya ushangilie.

  • Wimbo wa Sulemani 1:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Kwangu mimi mpenzi wangu ni kama mfuko wa manemane;+ katikati ya maziwa+ yangu atalala usiku kucha.

  • Wimbo wa Sulemani 3:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 “Ni nini hiki kinachokuja kutoka nyikani kama nguzo za moshi, kikiwa kimetiwa harufu ya manemane na ubani,+ pamoja na kila namna ya poda ya marashi ya mfanya-biashara?”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki