Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 8:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Naye Mordekai akatoka mbele ya mfalme akiwa amevaa mavazi ya kifalme+ ya bluu na kitani, taji kubwa la dhahabu, na kanzu ya kitambaa laini,+ ya sufu iliyotiwa rangi ya zambarau.+ Na jiji la Shushani likapaaza sauti na kushangilia.+

  • Wimbo wa Sulemani 3:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Nguzo zake amezifanya kwa fedha, vitegemezo vyake kwa dhahabu. Kiti chake ni cha sufu iliyotiwa rangi ya zambarau, ndani yake binti za Yerusalemu wamekipamba vifaa kwa upendo.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki