Isaya 1:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Ole kwa taifa lenye dhambi,+Watu waliolemewa na dhambi,Uzao wa watu waovu, watoto waliopotoka! Wamemwacha Yehova;+Wamemvunjia heshima Mtakatifu wa Israeli;Wamemgeuzia migongo yao. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 1:4 ip-1 14-15 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 1:4 Unabii wa Isaya 1, kur. 14-15 Mnara wa Mlinzi,10/15/1987, uku. 12
4 Ole kwa taifa lenye dhambi,+Watu waliolemewa na dhambi,Uzao wa watu waovu, watoto waliopotoka! Wamemwacha Yehova;+Wamemvunjia heshima Mtakatifu wa Israeli;Wamemgeuzia migongo yao.