-
Isaya 2:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Ili kuingia katika mashimo yaliyo kwenye miamba
Na ndani ya mipasuko ya majabali,
Kwa sababu ya uwepo wa Yehova unaoogopesha
Na fahari yake kuu,
Anapoinuka ili kuifanya dunia itetemeke kwa hofu.
-