Isaya 5:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Ole wao wanaoamka asubuhi na mapema ili wanywe kileo,+Wanaokawia hadi giza linapoingia jioni mpaka divai inapowawasha! Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 5:11 ip-1 81 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 5:11 Unabii wa Isaya 1, uku. 81
11 Ole wao wanaoamka asubuhi na mapema ili wanywe kileo,+Wanaokawia hadi giza linapoingia jioni mpaka divai inapowawasha!