-
Isaya 5:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Hakuna yeyote kati yao aliyechoka wala kujikwaa.
Hakuna yeyote anayesinzia au kulala.
Mshipi ulio kwenye kiuno chao haujalegezwa,
Wala kamba za viatu vyao hazijakatika.
-