-
Isaya 5:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Hakuna yeyote aliyechoka wala hakuna yeyote anayejikwaa katikati yao. Hakuna yeyote anayesinzia wala hakuna yeyote anayelala. Na mshipi ulio viunoni mwao hakika hautafunguliwa, wala kamba za viatu vyao hazitakatwa vipande viwili;
-