-
Isaya 6:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Maserafi walikuwa wamesimama juu yake; kila mmoja wao alikuwa na mabawa sita. Kila mmoja aliufunika uso wake kwa mabawa mawili na alifunika miguu yake kwa mawili, na kila mmoja wao aliruka huku na huku kwa mawili.
-