-
Isaya 9:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Kwa maana uovu unawaka kama moto,
Ukiteketeza vichaka vya miiba na magugu.
Utawasha moto vichaka vya msitu,
Navyo vitapanda juu katika mawingu ya moshi.
-