-
Isaya 22:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Hakika atakufunga kwa nguvu na kukurusha kama mpira katika nchi pana. Utafia huko, na huko magari yako yenye utukufu yatakuwa fedheha kwa nyumba ya bwana wako.
-