-
Isaya 22:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Bila shaka atakufunga imara, kama mpira kwa ajili ya nchi pana. Utakufa huko, na huko magari ya utukufu wako yatakuwa aibu ya nyumba ya bwana wako.
-