Isaya 22:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 nami nitamvisha kanzu yako na kumfunga kwa nguvu ukumbuu wako,+ nami nitatia mamlaka yako* mkononi mwake. Naye atakuwa baba kwa wakaaji wa Yerusalemu na nyumba ya Yuda. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 22:21 ip-1 240 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 22:21 Unabii wa Isaya 1, kur. 239-240
21 nami nitamvisha kanzu yako na kumfunga kwa nguvu ukumbuu wako,+ nami nitatia mamlaka yako* mkononi mwake. Naye atakuwa baba kwa wakaaji wa Yerusalemu na nyumba ya Yuda.