-
Isaya 23:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Je, hili ndilo jiji lenu lililokuwa na furaha tangu kale, tangu nyakati zake za zamani?
Miguu yake ilikuwa ikimpeleka nchi za mbali ili akae huko.
-