-
Isaya 23:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Je, hili ndilo jiji lenu lililokuwa na furaha tangu siku za kale, tangu nyakati zake za zamani? Miguu yake ilikuwa ikimpeleka mbali kukaa kama mgeni.
-