Isaya 24:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 Yeyote anayeikimbia sauti inayotia hofu ataanguka shimoni,Na yeyote anayetoka shimoni atanaswa na mtego.+ Kwa maana malango ya mafuriko yaliyo juu yatafunguliwa,Na misingi ya nchi itatetemeka. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 24:18 ip-1 266-268 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 24:18 Unabii wa Isaya 1, kur. 266, 267-268
18 Yeyote anayeikimbia sauti inayotia hofu ataanguka shimoni,Na yeyote anayetoka shimoni atanaswa na mtego.+ Kwa maana malango ya mafuriko yaliyo juu yatafunguliwa,Na misingi ya nchi itatetemeka.