-
Isaya 24:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Nao watakusanywa pamoja
Kama wafungwa waliokusanywa shimoni,
Nao watafungiwa katika gereza lililo chini ya ardhi;
Baada ya siku nyingi watakaziwa uangalifu.
-