Isaya 25:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Atapigapiga mikono yake ndani yakeKama mwogeleaji anavyopigapiga mikono yake ili kuogelea,Naye atakishusha kiburi chake+Kwa mwendo stadi wa mikono yake. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 25:11 ip-1 274, 276 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 25:11 Unabii wa Isaya 1, kur. 274-276
11 Atapigapiga mikono yake ndani yakeKama mwogeleaji anavyopigapiga mikono yake ili kuogelea,Naye atakishusha kiburi chake+Kwa mwendo stadi wa mikono yake.