-
Isaya 26:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Kwa maana amewashusha chini wale wanaokaa juu, jiji lililoinuliwa.
Analiangusha chini,
Analiangusha chini duniani;
Analitupa chini mavumbini.
-