Isaya 28:25 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Baada ya kusawazisha ardhi,Je, hatawanyi jira na kupanda bizari,Na je, hapandi ngano, mtama, na shayiri mahali pakeNa kusemethi+ kwenye mipaka? Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 28:25 w01 10/1 11 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 28:25 Ufahamu, uku. 649 Mnara wa Mlinzi,10/1/2001, uku. 11
25 Baada ya kusawazisha ardhi,Je, hatawanyi jira na kupanda bizari,Na je, hapandi ngano, mtama, na shayiri mahali pakeNa kusemethi+ kwenye mipaka?