Isaya 30:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Tangazo dhidi ya wanyama wa kusini: Katika nchi ya taabu na hali ngumu,Ya simba, simba anayenguruma,Ya nyoka kipiri na nyoka wa moto arukaye,*Wanabeba mali zao juu ya migongo ya pundaNa mizigo yao juu ya nundu za ngamia. Lakini vitu hivyo havitawanufaisha watu. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 30:6 ip-1 303-305 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 30:6 Unabii wa Isaya 1, kur. 303-305
6 Tangazo dhidi ya wanyama wa kusini: Katika nchi ya taabu na hali ngumu,Ya simba, simba anayenguruma,Ya nyoka kipiri na nyoka wa moto arukaye,*Wanabeba mali zao juu ya migongo ya pundaNa mizigo yao juu ya nundu za ngamia. Lakini vitu hivyo havitawanufaisha watu.