-
Isaya 30:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Na ng’ombe na punda wanaolima mashamba watakula chakula cha mifugo kilichokolezwa kwa mboga chungu, kilichopepetwa kwa sepetu na kwa uma.
-