-
Isaya 30:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Amefanya rundo la kuni liwe na kina kirefu na liwe pana,
Kwa wingi wa moto na kuni.
Pumzi ya Yehova, kama mto wa kiberiti,
Itaiwasha moto.
-