Isaya 40:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Ni nani amepima maji katika konzi ya mkono wake+Na kupima vipimo vya* mbingu kwa shubiri* ya mkono wake? Ni nani ameyakusanya mavumbi ya dunia katika kipimio+Au kupima milima katika mizaniNa vilima katika mizani? Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 40:12 ip-1 407-408 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 40:12 Ufahamu, Unabii wa Isaya 1, kur. 403-415
12 Ni nani amepima maji katika konzi ya mkono wake+Na kupima vipimo vya* mbingu kwa shubiri* ya mkono wake? Ni nani ameyakusanya mavumbi ya dunia katika kipimio+Au kupima milima katika mizaniNa vilima katika mizani?