Isaya 40:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Bado hawajapandwa,Bado hawajatiwa ardhini,Bado shina lao halijatia mizizi ardhini,Nao hupuliziwa na kukauka,Na upepo huwapeperusha mbali kama majani makavu.+
24 Bado hawajapandwa,Bado hawajatiwa ardhini,Bado shina lao halijatia mizizi ardhini,Nao hupuliziwa na kukauka,Na upepo huwapeperusha mbali kama majani makavu.+