-
Isaya 42:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 “Nimenyamaza kwa muda mrefu.
Niliendelea kukaa kimya na kujizuia.
Kama mwanamke anayezaa,
Nitalia kwa uchungu, nitahemahema, na kutweta wakati uleule.
-