Isaya 44:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Kwa maana nitammiminia maji mwenye kiu*+Na kumimina vijito vinavyotiririka kwenye ardhi iliyokauka. Nitaimimina roho yangu juu ya uzao wako*+Na baraka yangu juu ya wazao wako. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 44:3 ip-2 62, 64 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 44:3 Unabii wa Isaya II, kur. 62-64
3 Kwa maana nitammiminia maji mwenye kiu*+Na kumimina vijito vinavyotiririka kwenye ardhi iliyokauka. Nitaimimina roho yangu juu ya uzao wako*+Na baraka yangu juu ya wazao wako.