-
Isaya 44:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Mchongaji wa mbao huinyoosha kamba ya kupimia, huchora umbo akitumia chokaa nyekundu.
Huchonga sanamu kwa patasi na kuchora kwa bikari.
-