-
Isaya 50:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 “Tazameni! Ninyi nyote mnaowasha moto,
Mnaorusha cheche,
Tembeeni katika nuru ya moto wenu,
Kati ya cheche ambazo mmewasha.
Hili ndilo mtakalopata kutoka mkononi mwangu:
Mtalala kwa maumivu makali.
-