Isaya 50:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 “Tazama! Ninyi nyote mnaowasha moto, mnaowasha cheche, tembeeni katika nuru ya moto wenu, na katikati ya cheche ambazo mmeziwasha moto. Hakika mtapata hili kutoka mkononi mwangu: Mtalala katika maumivu matupu.+ Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 50:11 ip-2 164 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 50:11 Unabii wa Isaya II, uku. 164
11 “Tazama! Ninyi nyote mnaowasha moto, mnaowasha cheche, tembeeni katika nuru ya moto wenu, na katikati ya cheche ambazo mmeziwasha moto. Hakika mtapata hili kutoka mkononi mwangu: Mtalala katika maumivu matupu.+