Isaya 58:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Ni kumgawia aliye na njaa mkate wako,+Kuwaleta maskini na wasio na makao nyumbani mwako,Kumvisha aliye uchi unapokutana naye,+Na kutowageuzia mgongo watu wako wa ukoo. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 58:7 ip-2 281-282 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 58:7 Unabii wa Isaya II, kur. 281-282
7 Ni kumgawia aliye na njaa mkate wako,+Kuwaleta maskini na wasio na makao nyumbani mwako,Kumvisha aliye uchi unapokutana naye,+Na kutowageuzia mgongo watu wako wa ukoo.