-
Isaya 59:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Sote tunaendelea kunguruma kama dubu
Na kulia kwa huzuni kama njiwa.
Tunatumaini kupata haki, lakini hakuna haki yoyote;
Kupata wokovu, lakini uko mbali sana nasi.
-