Yeremia 7:28 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 28 Nawe utawaambia, ‘Hili ndilo taifa ambalo halikuitii sauti ya Yehova Mungu wao, nao walikataa kukubali nidhamu. Uaminifu umetoweka na hata hautajwi miongoni mwao.’*+
28 Nawe utawaambia, ‘Hili ndilo taifa ambalo halikuitii sauti ya Yehova Mungu wao, nao walikataa kukubali nidhamu. Uaminifu umetoweka na hata hautajwi miongoni mwao.’*+