-
Yeremia 13:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Lakini baada ya siku nyingi Yehova akaniambia: “Inuka, nenda kwenye Mto Efrati, uchukue kutoka huko ule mshipi niliokuamuru uufiche huko.”
-