-
Yeremia 13:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Lakini ikawa baada ya siku nyingi kwamba Yehova akaniambia: “Simama, nenda Efrati na kuchukua kutoka huko ule mshipi niliokuamuru uufiche huko.”
-