-
Yeremia 17:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Lakini mimi, sikukimbia na kuacha kukufuata ukiwa mchungaji,
Wala sikutamani siku ya msiba.
Unajua vema mambo yote ambayo midomo yangu imesema;
Yote yalitendeka mbele za uso wako!
-