-
Yeremia 17:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Lakini mimi sikufanya haraka kuacha kuwa mchungaji anayekufuata, nami sikuwa na tamaa yoyote kwa ajili ya ile siku mbaya. Wewe mwenyewe umelijua neno la midomo yangu; mbele za uso wako limetokea.
-