Yeremia 19:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Nitavunja mipango ya Yuda na Yerusalemu mahali hapa, nami nitawaacha maadui wao wawaangamize kwa upanga na pia wataangamizwa kwa mkono wa wale wanaotaka kuwaua.* Nami nitawapa ndege wa angani na wanyama wa duniani maiti zao kuwa chakula chao.+
7 Nitavunja mipango ya Yuda na Yerusalemu mahali hapa, nami nitawaacha maadui wao wawaangamize kwa upanga na pia wataangamizwa kwa mkono wa wale wanaotaka kuwaua.* Nami nitawapa ndege wa angani na wanyama wa duniani maiti zao kuwa chakula chao.+