Yeremia 25:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Walikuwa wakisema, ‘Tafadhali, geukeni kila mmoja wenu kutoka katika njia zenu za uovu na matendo yenu maovu;+ nanyi mtaendelea kukaa kwa muda mrefu katika nchi ambayo Yehova aliwapa ninyi na mababu zenu zamani. Yeremia Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 25:5 Mnara wa Mlinzi,3/1/1994, kur. 18-19
5 Walikuwa wakisema, ‘Tafadhali, geukeni kila mmoja wenu kutoka katika njia zenu za uovu na matendo yenu maovu;+ nanyi mtaendelea kukaa kwa muda mrefu katika nchi ambayo Yehova aliwapa ninyi na mababu zenu zamani.