-
Yeremia 25:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 “Ombolezeni, enyi wachungaji, na mlie kwa sauti!
Mgaegae, enyi watu mashuhuri wa kundi,
Kwa sababu wakati wenu wa kuchinjwa na kutawanywa umefika,
Nanyi mtaanguka kama chombo chenye thamani!
-