-
Yeremia 32:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Hanameli mwana wa ndugu ya baba yangu akaja kwangu, kama Yehova alivyosema, katika Ua wa Walinzi, naye akaniambia: “Tafadhali nunua shamba langu lililo Anathothi, katika nchi ya Benjamini, kwa maana una haki ya kulimiliki na kulikomboa. Linunue liwe lako.” Ndipo nikajua kwamba hilo lilikuwa neno la Yehova.
-