-
Yeremia 34:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Basi wakuu wote na watu wote wakatii. Walikuwa wamefanya agano kwamba kila mtu awaachilie huru watumwa wake wa kiume na wa kike na asiwafanye tena kuwa watumwa. Wakatii na kuwaruhusu waende zao.
-