-
Yeremia 35:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Nanyi hampaswi kujenga nyumba, kupanda mbegu, au kupanda shamba la mizabibu au kulimiliki. Badala yake, mnapaswa kukaa katika mahema sikuzote, ili mwishi kwa muda mrefu katika nchi mnayoishi ndani yake mkiwa wageni.’
-