Yeremia 35:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Nanyi msijenge nyumba, wala msipande mbegu; wala msipande shamba la mizabibu, wala lisije kuwa lenu. Lakini mkae katika mahema siku zenu zote, ili mwendelee kuishi siku nyingi juu ya uso wa nchi ambapo mnakaa mkiwa wageni.’+
7 Nanyi msijenge nyumba, wala msipande mbegu; wala msipande shamba la mizabibu, wala lisije kuwa lenu. Lakini mkae katika mahema siku zenu zote, ili mwendelee kuishi siku nyingi juu ya uso wa nchi ambapo mnakaa mkiwa wageni.’+